Category | Included symptoms in Swahili | Approximate English translations |
1. Genitalia | Maumivu sehemu za siri Kutoka damu hata kama si siku za hedhi Uvimbe katika sehemu za uzazi Kutokwa na damu ukeni Kutopata choo ndogo kiurahisi Kukosa hedhi UTI kali Kutoka damu sehemu za siri Damu katika choo kikubwa Kutopata choo Maumivu makali katika kushiriki tendo la ndoa Kukojoa damu Uvimbe kwenye ziwa Mzunguko wa hedhi usio wa kawaida Harufu ukeni | Pain in the genitals Bleeding even if it is not days of menstruation Swelling in the womb Vaginal bleeding Urinal constriction Loss of menstruation Severe Urinary Bleeding in the genitals Much blood in the faeces Loss of defecation Pain during sexual intercourse Blood in urine Swelling in breasts Irregular menstrual cycle Vaginal odour |
2. Throat | Kakauka kwa mate Kidonda kisichopona Kukohoa damu Maumivu kooni Kikohozi | Dryness of saliva Wound that does not heal Coughing blood Pain in the throat Cough |
3. Skin | Mabadiliko ya ngozi/rangi Kuwashwa mwili Kubabuka mwili Vipele Kubabuka ngozi Ngozi kutoa maji | Skin changes/colour Itching Body rash Rashes Skin peeling Skin oozing |
UTI, urinary track infection.