Category | Included symptoms in Swahili | Approximate English translations |
1. External bodily illnesses | Uvimbe Uvimbe kwenye chuchu Vidonda Kuwa na vidonda Kidonda kisichopona Kidonda kikubwa Kidonda kuoza Vidonda vinavyotoa maji Nywele kunyonyoka | Swelling Swelling on the nipple Wounds Having wounds Wounds that do not heal Large wound Rotting wound Wounds with fluid Hair falling out |
2. Internal bodily illnesses | Homa Homa za mara kwa mara Kuvurugika au kunyong’onyea kwa mwili Kukosa nguvu Mwili kudhoofu Maradhi ya mara kwa mara Kukonda/Kupungua mwili Kuishiwa nguvu Damu kuganda Kutoka kwa damu Damu zisizo na mzunguko maalum Kidonda kinasambaa ndani kwa ndani | Fever Occasional/intermittent fevers Disruption or weakening of the body Weakness Weak body Frequent illnesses Weight loss Loss of energy Blood clots Blood comes out Bleeding without regular cycle Wound spreads deep inside |